Search

21 results for Elizabeth Joachim :

  1. Makonda adai mawaziri wanahusika kumtukana Rais Samia mitandaoni

    Ameonya kuwa wasipoacha atawataja kwa majina Aprili 15, 2024, awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia.

  2. Askofu Amani asimulia Sokoine alivyosaidia jamii ya wamasai

    Monduli. Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Isack Amani amesema aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Edward Sokoine alikuwa kiongozi mzalendo, hodari, mkereketwa, mwenye mawazo ya...

  3. LIVE: Kinachoendelea nyumbani kwa hayati Sokoine

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki ibada ya kumbukizi ya miaka 40 ya kifo ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine.

  4. Biashara ya nyama yadoda Ijumaa Kuu Mwanza

    Ijumaa ya mwisho wa juma kabla ya Pasaka hutumiwa na wakristo kuabudu huku wakitakiwa kutokula kitoweo chenye damu

  5. Alama ya kumbukumbu ya Kapembe kuwekwa Mlima Kilimanjaro

    Waziri wa Habari, Mawasilino na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesimulia namna mwanahabari aliyefariki dunia baada ya kupanda mlima Kilimanjaro alivyotekeleza majukumu yake na kumtengeneza...

  6. Tanzania yapata mkopo wa Sh310 bilioni

    Tanzania imepata mkopo wa Sh310 bilioni kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na...

  7. Watanzania watakiwa kula vyakula vya asili

    Tamasha la vyakula asilia lanafanyika Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo watu wajitokeza kupika vyakula vye asili vya makabila mbalimbali.

  8. Makarani sense wadaiwa kuwa na kasi ndogo

    Ikiwa leo ni siku ya pili ya sensa ya watu na makazi, malalamiko dhidi ya kasi ya makarani yaanza kujitokeza Temeke.

  9. Naibu Waziri wa Maliasili awapa ‘tano’ TAWA

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kazi nzuri ya usimamizi wa rasilimali za wanyamapori nchini huku akisisitiza...

  10. VIDEO-Maajabu ya Elifrida kwa familia ya Mallya

    Gazeti la Mwananchi la Juni 8 mwaka huu, lilichapisha habari kuhusu familia ya Edmund Mallya (68), baba wa watoto watano ambaye ameingia kwenye lindi la umaskini baada ya kukatwa mguu kwa sababu...

Page 1 of 3

Next